Nawasalimu wanajamvi. Habarini za mapumziko ya Jumamosi.
Niende kwenye mada. Kwa wajuzi na wataalamu wa aina ama kampuni Bora za Sola.
Tunafahamu kuwa kuna sehemu/vijiji ambavyo bado umeme wa REA haujafika. Hivyo nahitaji kwenda kumfungia umeme wa sola mama yangu. Mwenye ufahamu juu hili tafadhali naomba msaada wa maelekezo.
Asante🙏.