lushalila JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 282 Reaction score 109 Aug 18, 2018 #1 Naomba mwenye kujua kuhusu jkt , sifa za kujiunga, yani elimu, umri, na ni kozi gani zinatolewa uko na ni kwa muda gani pia , Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba mwenye kujua kuhusu jkt , sifa za kujiunga, yani elimu, umri, na ni kozi gani zinatolewa uko na ni kwa muda gani pia , Sent using Jamii Forums mobile app
farazuu JF-Expert Member Joined Mar 28, 2018 Posts 384 Reaction score 517 Aug 18, 2018 #2 Jkt ni kituo au jeshi la mafunzo.Nenda website yao utapata hbr zaidi
Joowzey JF-Expert Member Joined Nov 13, 2015 Posts 13,164 Reaction score 13,556 Aug 18, 2018 #3 lushalila said: Naomba mwenye kujua kuhusu jkt , sifa za kujiunga, yani elimu, umri, na ni kozi gani zinatolewa uko na ni kwa muda gani pia , Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nenda makao makuu dodoma utawakuta huko waulize
lushalila said: Naomba mwenye kujua kuhusu jkt , sifa za kujiunga, yani elimu, umri, na ni kozi gani zinatolewa uko na ni kwa muda gani pia , Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nenda makao makuu dodoma utawakuta huko waulize
lushalila JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 282 Reaction score 109 Aug 18, 2018 Thread starter #4 Kabla ya kufanya hivyo nilitaka mwenyekujua anipe za harakaharaka, Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya kufanya hivyo nilitaka mwenyekujua anipe za harakaharaka, Sent using Jamii Forums mobile app
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,597 Reaction score 29,530 Aug 18, 2018 #5 Eti anauliza hadi kozi gani wanatoa...
Erickford4 JF-Expert Member Joined May 22, 2017 Posts 1,131 Reaction score 1,099 Aug 21, 2018 #6 wa stendi said: Eti anauliza hadi kozi gani wanatoa... Click to expand... Kozi ni kupiga Chenja na mahovyohovyo aende tu akayaone ila akaze moyo... Kule ndo kipimo cha uanaume
wa stendi said: Eti anauliza hadi kozi gani wanatoa... Click to expand... Kozi ni kupiga Chenja na mahovyohovyo aende tu akayaone ila akaze moyo... Kule ndo kipimo cha uanaume
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,124 Aug 21, 2018 #7 Mtu hajui Jkt ni nini, huyu akichukuliwa na akipata nafasi ya kuajiriwa upolisi tutapata taabu saaaaana
Mtu hajui Jkt ni nini, huyu akichukuliwa na akipata nafasi ya kuajiriwa upolisi tutapata taabu saaaaana