Kwenye computer kunakuwa na unit au unaweza kuiita chip au processor (GPU), inayoshughulika na video. Display ya computer au monitor inapata signal kutoka kwenye hiyo chip (GPU) ndipo inaonesha picha.dah umeniacha kidogo kaka embu nifafanulie vizuri hapo kwenye izo version
dah asante sana mkuu hapo kidogo umenifunguaAngalia nimeweka sample ya GPU screenshots hapa. View attachment 1495297View attachment 1495298View attachment 1495300
Zinatofautiana kwenye sifa zake (Specifications). Kama ifuatavyo.sorry lakin na vipi kwenye upande wa matumiz zinatofautiana? au ni HD tu ndio itakuwa tofauti
KuongezeaHabari zenu wana jf Leo nilikuwa naomba kujuzwa kuusu izi Intel HD 3000, 4000 na zingne pia nimekuwa naangaika sana kuelewa maaana Intel HD 3000 nimeikuta kwenye core i3 na Intel hd 4000 nimeikuta kwenye core i3 pia hapa nilikuwa naomba kuelewa kitu wazee kuhusu izi Intel HD
swali kidogo mkuu me natumia pentium g3250 hd 4000 Ila nikigoogle uwa naambia ni 4thenKuongezea
HD 2500/3000 hio ni gen ya 2
Hd 4000 ni gen ya 3
Hd 4400/4600 ni gen ya 4
Hd 5500 ni gen ya 5
Hd 520/530 ni gen ya 6
Hd 620/630 imetumika kote kuanzia gen ya 7 mpaka ya 10.
Xe graphics zinakuja gen mpya baadae mwaka huu zina nguvu kama dedicated graphics.
Pia gen ya 10 zipo za aina mbili kuna comet lake inayotumia HD 620/630 na ice lake yenye gpu kali sema upatikanaji wa tabu.
Kwenye huo mtiririko jinsi gen ilivyo kubwa ndio jinsi hio intel HD inavyokuwa na nguvu kasoro gen ya 4 kwenda ya 5. Ya 4 ina nguvu kushinda ya 5.
Kwa matumizi ya kisasa angalau hd520 ama 620 zinakidhi, vitu kama video za 4k ama games zitacheza kwa low quality.
Ukikosa kabisa angalau hio hd4600
Ndio ni 4th gen na haina hd 4000, gpu yake inaitwa tu intel HD haina namba kwa mbele angalia site ya Intel kwa ushahidi zaidiswali kidogo mkuu me natumia pentium g3250 hd 4000 Ila nikigoogle uwa naambia ni 4then