Msaada kuhusu iphone

young_mesult

Senior Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
133
Reaction score
35
ndugu naombeni msaada wenu...nimedondosha iphone yangu na kioo kimealibika hiv kwel kwa hapa tanzania nitapata wap display.....na kwa anayejua bei anitajia....hii serious jaman nashida
 
ndugu naombeni msaada wenu...nimedondosha iphone yangu na kioo kimealibika hiv kwel kwa hapa tanzania nitapata wap display.....na kwa anayejua bei anitajia....hii serious jaman nashida
iPhone Model gani? upo wapi? display haiwaki kabisa? au Touch haifanyi kazi? au tatizo ni crack pekee? kama shida ni crack nenda maduka ya SAPNA kioo kati ya 20 - 50,000/= inategemea na model yako. kama ni Touch Digitizer tembelea maduka ya spare za simu bei yake sifaham,,
 
SAMAHANI WADAU KWA KUPANDISHA MADA JUU YA MADA,mi NIna Iphone 3G niliidondosha sasa haiwaki na ukiconnect charger ina display kama iko connected kwenye power lakini haicharge nilijaribu kuifungua na nikairudishia lakini bado ni vile vile,SASA NAOMBA USHAURI NIFANYEJE KUIFUFUA HII SIMU INGAWA ISHAKUWA MZEE ?
 
Wasiliana na mwenye namba 0713756256 ni fundi aliyerekebisha yangu nilipopata tatizo kama hilo kwa kweli ilirudi kama mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…