Bei za iPad itategemea na aina na sifa za iPad unyohitaji[/QU naomba unitajie tu angalau kwa general kwamba zinaanzia kias fulani.yan kiwango cha chini kbs na kl cha juu kbs.
Ukitembelea madukani utaona bei halisi around 1.4 for Ipad 1 16GB WiFi only, mimi ninazo IPad 1 mbili, ya 32GB na 64GB at 1,050,000/= na 1,150,000/= respectively. Zote ni WiFi + 3G na zinakuja na wireless keyboard bure ambayo dukani ni $100,,,,
oa oa, ni PM ukihitaji au nicheki kwenye 0716904626, negotiations included,,,,
.ipad zipo mbili tu ipad one ndo ya zamani kidogo.lkn kuna tab za adroid ambazo ni bei poa saana.mi nayo ipad 2 16 gb wifi na 3g nyeupe,used for miezi miwili.950,000. piga namba 0688191991
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.