Msaada kuhusu internet ya halotel

Msaada kuhusu internet ya halotel

bonem

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2015
Posts
235
Reaction score
55
Samahani wadau wa jukwaa hili, nimenunua line ya halotel kwa ajili ya matumizi ya Internet. Tatizo, ninapowasha data, inaonekana haijaunganishwa kwenye internet kwa hiyo nashindwa kufanya nayo kazi. Naitumia kwenye tablet. Nisaidieni waungwana wa humu jukwaani. Blessings
 
Weka Access point

Nenda 'settings'
Kisha 'mobile network'

Halafu 'Access point'

Ongeza access point (chagua new)

Kwenye access point name andika neno 'HITS' au neno lolote

Kwenye access point andika neno 'internet'

Done
Ok.

Muhimu, jitahidi ufike kwenye kuedit access point bila kujali mtiririko nilioonesha hapo juu, simu zinatofautiana.

Kila la heri.
 
Screenshot_2016-11-01-21-26-20.png
 
je kwa 1000 huko halotel nitapata 1GB? au tangu wametuchanganyia rangi hawajarudisha hiyo huduma?

NB situmii laini ya chuo...
 
Back
Top Bottom