Msaada kuhusu Internet sharing kwenye window phone

Msaada kuhusu Internet sharing kwenye window phone

Jibaba Bonge

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2008
Posts
1,246
Reaction score
404
Wakuu ninaomba Masada. Ninatumia Lumia 920 window phone. Nimekuwa nikitumia simu kushare internet kwa WIFI na kupata internet kwenye laptop. Last week Simu ili-corrupt. Nikaipeleka midi com waka install OS upya. Tokamak hapo nikitaka kushare internat napata message hii 'Connection not shared Internet sharing isn't currently available'

Naombeni Msaada nifanye nini niweze kushare Internet Kama mwanzo
 
Ngoja nikusaidie kumuita Sajy atakusaidia ila kama atachelewa kuja kwa mara ya mwisho nakumbuka alishauri ufumbuzi wake ni kuapdate na kuapdate lazima uwe na account ya Nokia. Au tafuta thread inayosema ''Tatizo la wireles hotspot window phone hasa nokia lumia(sharing-internet) ufumbuzi umepatika hapa''
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hata mi nimekuwa muathirika wa hili janga kwa kwel na nilejarb kupitia maelez yao kupitia nokia cre sijapata majib ya utatuzi wa hili tatizo kwenye sim yang thou kuna wengine wali coment kuwa wame solve kwa ku washa blotooth on na ku connect ,,,kitu ambacho kwanga naona hvina uhusiana nd istoshe havija solve tatzo
 
Back
Top Bottom