zipo nyia za kutoa bundle la blackberry ila kama unataka kutumia bundle lao kwa tigo na voda ni sh.500 /kwa siku ukijiunga kwenye hiki kifurushi unaingia setting-device-advanced settings-kisha host route table unabonyeza menu kisha register kisha zima simu kabisa yaan toa battery kisha subiri 2 minutes then weka kisha ikwaka utaona kwenye host routing table unaona mitandao hapo tayari unaweza kutumia internet siku nzima