Msaada kuhusu International Passport

Fibs

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2017
Posts
528
Reaction score
650
Hongera kwa miaka 56 ya Uhuru!
Ninapenda kua na passport ya kusafiria kama moja ya vitambulisho vyangu... Ivi ni lazima uwe na safari ya kwenda nchi za nje ndo uoate passport au naweza tu kwenda kupata passport bila ata kua na safari yoyote?
Na pili! Gharama za kupata international Passport zipoje?
 
Asante sana kwa taarifa hii
 
we ingia jukwaa la hoja na habari mchanganyiko hlf kwenye seaech bar andika neno passport zitakuja tu nyuzi kibao...utachagua inayokufaa!
Aaante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…