Msaada kuhusu installation kupata window 10 Pro

Msaada kuhusu installation kupata window 10 Pro

Chief-Mkwawa msaada wako ni muhimu sana naomba unisaidie yaani ile CD ya Driver Za printer hii nilibahatisha kuipata nikaweka na kuinstall lkn error iko pale pale ... Mwanzoni nilisema shida ni window nikatoka window 8.1 to Window 10 lkn ugonjwa uko pale pale ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hp laserjet pro mfp m125nw .. ila chief nimepata cd yake ya driver pia inaleta error ile ile , au kabla ya kuinstall kuna taratibu zakufuata mbali na maelekezo ,, alafu Computer zote zilikuwa zishafanyiwa installation ya printer baada ya window kuzingua tuka-uninstall printer ndo zikakataa kuinstall tena mpk cha leo , printer ni ya mwaka 2015 .. msaada wako Chief-Mkwawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeangalia kwenye website kuna drivers mbili full driver set, na basic driver umejaribu zote?

Na toka mu uninstall hizo driver mulipiga window?
 
Shukrani Chief-Mkwawa nimefanikiwa kuinstall printer ila njia niliyoifanya ni kuinstall window by custom na nilivyomaliza kupiga window nikainstall printer ,na missing driver nikatumia driver pack solution online nikafanikiwa kwa sasa mashine iko vzr ..
IMG20200326141417.jpeg
IMG20200324160007.jpeg
IMG20200324160409.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHIEF MKWAWA mkuu kwema kuna pc yangu nimepiga windows 10 yenye all version ya 64bit tatizo ainipi option ya kuchagua inaenda direct kwenye windows 10 home nawezaje kubadili kuja win 10 pro


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
CHIEF MKWAWA mkuu kwema kuna pc yangu nimepiga windows 10 yenye all version ya 64bit tatizo ainipi option ya kuchagua inaenda direct kwenye windows 10 home nawezaje kubadili kuja win 10 pro


Sent from my iPhone using JamiiForums
Labda ni hio image sio all in one, kwanini usitengeneze cd ama bootable flash toka website yao wenyewe microsoft?
 
Sawa Mkuu maana nami nilitumia media creatol ilileta option ya window 10 matoleo yote .. mie natumia 10 pro , vp chief naweza kufanya activation without key .?

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hii win 10 ni kama bure tu, ukiokoteza tu key yoyote hata ya win 7 ama 8 inakubali kama laptop yako ina sticker ya windows tumia hio. pia ukidakwa wanatoa tu uwezo wa kubadili walpaper ila unatumia vizuri tu.

kms pico pia ina activate.
 
Labda ni hio image sio all in one, kwanini usitengeneze cd ama bootable flash toka website yao wenyewe microsoft?
mkuu nimedowload toka official website yao nanikijarbu kupiga pc ingine inakubali ya kwangu tu ndo inakataa sijui shida itakuwa ni nn
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom