Jana kila nilipokua naingia instagram, ilikua ina corrupt, na Simu kurudi ukurasa wa mwanzo yaani Home Screen, nimejaribu mara kadha kuingia bado ikawa ina fanya hivyo, na simu kuwa mzito kwenye App hiyo tu.
Baadae nikaamua kuai Update, na hapo ndipo tatizo lilipo zidi, kila niki log in haitaki kwa kutumia hata Facebook nayo haitaki kabisa, inaniandikia hivi.
Error: on UnKnown Network error has Occurred. Dismise