Habari wana JF. Kuna bidhaa nataka ninunue AMAZON ila bado sijaelewa kwa uzuri kuhusu import fees. Kama kuna mdau alishawai kuagiza bidhaa kutoka Amazoni naomba ufafanuzi zaidi.
Gharama Zitajulikana na utalipia baada ya mzigo kufika nchini, Kilichoandikwa amazon, "Import Fees on Amazon", ni kama dokezo ila gharama halisi ni baada ya mzigo kufikishwa nchini.