tindikalikali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,854 Reaction score 1,149 May 24, 2014 #1 Wakuu nina tatizo na hii application, kila niiweka serial number za crack inaniambia ni fake. wiki kama mbili zikizopita niliinstall na kuitumia... Je nitasolve vipi hili tatizo? Kuna application yeyote inayofanana na IDM kwa ufanisi?
Wakuu nina tatizo na hii application, kila niiweka serial number za crack inaniambia ni fake. wiki kama mbili zikizopita niliinstall na kuitumia... Je nitasolve vipi hili tatizo? Kuna application yeyote inayofanana na IDM kwa ufanisi?