Asante sana mdauhttps://cse.udsm.ac.tz/index.php/programmes/non-degree/diploma-in-computer-science
Soma entry requirements hapo au hapa kwenye screenshot View attachment 804427
Bope kwa ufaulu huo hawezi. UsimdanganyeUnaweza
Mkuu usimtishe we mwache akasome tu hesabu ni zilezile tu uwezo wako tu ila kama upend hesabu hapo kaz unayo kule ni kushuka mathematics kama O & A LEVELKm unamsingi mzr wa hesabu utaweza. Ila km unajua quadratic tu huku logarism ikikutoa jasho acha tuu maana utapata tabu sana
UnawezaJamani naomba maelezo juu ya hicho nilichoomba msaada yaani kama inawezekana na chuo husika ili nifanye Application kabla ya Muda kuisha sasa kweli kwa kusoma na kuangalia tu hainisaidii
Usimtishie dogo amani hakuna kigumu mkuu vyote vinawezekana ukiwa na nia!!!!Km unamsingi mzr wa hesabu utaweza. Ila km unajua quadratic tu huku logarism ikikutoa jasho acha tuu maana utapata tabu sana