Msaada kuhusu i phone4

Msaada kuhusu i phone4

kobo

Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
16
Reaction score
1
Hi simu iliangushwa na wazungu so ikiwashwa inadai uingize i phone email na pasword zake je kuna njia yoyote ya kufanya au ndio pambo tu limebaki
 
Hi simu iliangushwa na wazungu so ikiwashwa inadai uingize i phone email na pasword zake je kuna njia yoyote ya kufanya au ndio pambo tu limebaki]
Sio rahisi ku_bypass hiyo login screen
Security - Ndio heshima ya iPhone ilipo.
 
Nitakupa njia rahisi lakini naomba chunga usiwaambie wahuni wenye kuiba simu za watu kisha wakatumia ujanja huu. OK
1. Iwashe, kisha weka ndani ya ndoo ilojaamaji usiku kucha ( full ndani ya maji) zingatia, iwe on.
2. Asubuhi uiotoe, itakuwa imekwenda off Automatic, sasa iwashe itawaka bila kuuliza password wala email

Zingatia hii ni siri sana na comment hii nitaitoa baada ya saa moja
 
Techman be like man bhana uo ni utoto
 
Hapana haijapigwa tena INA ujumbe kuwa hii simu imepotezwa kwa mawasiliano zaid imewekwa no ya huyo mzung na ukipiga haongei kingereza
 
Hapana haijapigwa tena INA ujumbe kuwa hii simu imepotezwa kwa mawasiliano zaid imewekwa no ya huyo mzung na ukipiga haongei kingereza

ndiyo ujue hiyo simu alipoteza au kuibiwa, sijui wewe uliipataje, HAKUNA JINSI YA KUIFUNGUA MPAKA HUYO JAMAA MWENYEWE TU, jambo la msingi kabisa jua ni namba ya nchi gani upate jinsi ya kuelewana naye umrudishie simu yake, hilo ndiyo jambo la maana kuliko kitu chochote! unaweza kutoa namba yake tukusaidie kuwasilina naye?
 
Hakuna namna yoyote unaweza kufanya ku bypass kwasasa
Fungia kabatini au mrudishie mwenyewe
 
No hii ya huyo mzungu +27824448202 haeleweki kabisa
 
Bwaahahahakwikwiwiii teheee daah you guys you made may day so sweet!! Ushauri wape watoto wachezee, au nipe nioshee kwmba ninazo simu mbili!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom