Immortal_MH
JF-Expert Member
- May 14, 2013
- 1,240
- 2,252
kama unatumia tigo nadhani tatizo lipo kwao, jaribu kutumia mtandao tofauti uone.
Inakataa kiaje?
inakwambiaje?
Check storage (card au internal memory) kama kumejaa
kama unatumia tigo nadhani tatizo lipo kwao, jaribu kutumia mtandao tofauti uone.
Nenda pale quality center tigo shop kuna jamaa wa huawei ana deal na matatizo yote ya huawei km tu ulinunua cm yako toka tigo.huawei y 300 zinatatizo la kiufundi toka kiwandani.
wakuu hebu nisaidieni
Ninatumia huawei y300, ila toka juzi inakataa ku-install apps kutoka playstore.
Nisaidieni nini tatizo na jinsi ya kulitatua.
Ni bure kbs,huawei wanajua hilo tatizo ndio maana wameleta fundi wao.pia ongea nae atakusaidia ku unlock kwa elfu 30.
Nahs ni simu zenyewe imewai nitokea kwa hizo simu ikawa inanilazimu ku restart then nasubiri sana ndo inakubali.
Mwisho wa siku niliamua kuiuza iyo ascend maana niliona kero
Ni bure kbs,huawei wanajua hilo tatizo ndio maana wameleta fundi wao.pia ongea nae atakusaidia ku unlock kwa elfu 30.
natumia tigo mkuu ila siyo unlocked kwa hiyo siwezi weka line nyingine
Ni bure kbs,huawei wanajua hilo tatizo ndio maana wameleta fundi wao.pia ongea nae atakusaidia ku unlock kwa elfu 30.
niki-download app inakubali ila ikiwa ina-install itatumia muda mrefu kisha inakata bila notification yoyote