Msaada kuhusu hili tafadhari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kuhusu hili tafadhari

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by PARRIE KIJIKO, Aug 24, 2012.

 1. PARRIE KIJIKO

  PARRIE KIJIKO Senior Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 22, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Naomba kufahamu,et pana tofauti kati ya hivi vitu,masters v/s postgraduate?kama ipo naomba niambiwe,sambamba na ufafanuzi wa kina kwenye maneno hayo_Ombi!
   
 2. a

  axel fowly Senior Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  post graduate ni general term maana inaweza ikawa ni masters au advanced diploma...kwa maana hiyo tunasema masters ni post graduate degree after having first degree
   
 3. PARRIE KIJIKO

  PARRIE KIJIKO Senior Member

  #3
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 22, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  let say mtu kasoma 1st degree(Baed) then akataka somea mambo ya uchumi degree ya pili,je anaweza soma masters direct au mpaka asome advance diploma
   
 4. a

  axel fowly Senior Member

  #4
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuhusu hilo la kutoka baed mpaka masters ya uchumi sielewi vizuri mkuu..ngoja tusubiri waelewa watujuze zaidi...!
   
Loading...