msaada kuhusu hii simu

msaada kuhusu hii simu

CK Allan

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,784
Reaction score
6,183
hii simu ni tecno juu ya cover imeandikwa camon..
ndani kwenye about phone imeandikwa tecno c 9
ila nikiingia net au nikiichomeka kwenye pc inasoma
tecno J8

je tatizo liko wapi?
na je nikitaka kuroot nitumie software ipi?
nikijibiwa itapendeza zaidi.
 
anza na cpu z, nenda playstore kisha idownload angalia specs za ndani then hizo zitakujulisha hio ni simu gani.
 
Back
Top Bottom