akatanyukuile_tikoma
Member
- Oct 19, 2021
- 22
- 39
Kimbilia Haraka Kwa Mwamposa ,utakuja kunishukuruWadau , nimekuwa nikisumbuliwa Sana na ndoto za ajabu Sana mpaka nikiamka naziwaza Sana nashindwa kuelewa Zina maana gani
Baadhi ya ndoto zimekuwa zikijirudia Sana na baadhi zimekuwa halisi katika maisha yangu
Mfano niliota nafukuzwa kazi na nikafukuzwa kweli bila kosa lolote ,
Baada ya kuoa niliandamwa na mikosi mingi ambayo yote nilikuwa naiota kabla haijatokea
Naomba msaada ili nielewe ndoto zifuatazo:
1. Kuota nakamatwa na Polisi baadae nikatoroka nikakimbis speed
2. Nimeota mtu anakuja na gari jipya la kisasa na ghali Sana duniani nikawa napiga picha kwamba gari la ndugu yangu na watu wakaja wengi ikawa sherehe kubwa , lakini ghafla mama mmoja akawa anasema wanataka kuzika yeye anasema hawezi kuzika mme wa mtu bila mke wake kujua , akalazimishwa kwamba mwili umeoza tuzike akakataa
Je hizi ndoto Zina maana gani na je Zina impact katika maisha kwa kiwango gani
Kama Kuna msaada wa haraka kuzuia haya yote pia naomba kusaidiwa
Ndoto ni nyingi Ila hizi nimezipata jana
Nashukuru mkuuMara nyingi sana mambo ya kiroho ,huwa yanakuja ndotoni , na unapoona kuwa yana madhara ni muhimu kuyakabili kwa maombi kufunga kukemea na kuzuia unapoona jambo limekupata linaanzia katika ulimwengubwa roho kazana katika kuomba vunja madhabahu zote za kuzimu ,
Uelewe kwamba ndoto ni njia ambayo Mungu anaitumia sana kusema na mwanadamu.Wadau , nimekuwa nikisumbuliwa Sana na ndoto za ajabu Sana mpaka nikiamka naziwaza Sana nashindwa kuelewa Zina maana gani
Baadhi ya ndoto zimekuwa zikijirudia Sana na baadhi zimekuwa halisi katika maisha yangu
Mfano niliota nafukuzwa kazi na nikafukuzwa kweli bila kosa lolote ,
Baada ya kuoa niliandamwa na mikosi mingi ambayo yote nilikuwa naiota kabla haijatokea
Naomba msaada ili nielewe ndoto zifuatazo:
1. Kuota nakamatwa na Polisi baadae nikatoroka nikakimbis speed
2. Nimeota mtu anakuja na gari jipya la kisasa na ghali Sana duniani nikawa napiga picha kwamba gari la ndugu yangu na watu wakaja wengi ikawa sherehe kubwa , lakini ghafla mama mmoja akawa anasema wanataka kuzika yeye anasema hawezi kuzika mme wa mtu bila mke wake kujua , akalazimishwa kwamba mwili umeoza tuzike akakataa
Je hizi ndoto Zina maana gani na je Zina impact katika maisha kwa kiwango gani
Kama Kuna msaada wa haraka kuzuia haya yote pia naomba kusaidiwa
Ndoto ni nyingi Ila hizi nimezipata jana
Pole sana!hata usiogope!Naomba kusaidiwa katika haya mambo , yamenitesa Sana miaka mingi na mikosi mingi pamoja na kufunga fursa zangu nyingi Sana na maisha kubadilika kurudi kwenye ufukara , ilihali sikuwa hivi
Ili utafsiri ndoto lazima umuonbe Mungu pia!Wadau , nimekuwa nikisumbuliwa Sana na ndoto za ajabu Sana mpaka nikiamka naziwaza Sana nashindwa kuelewa Zina maana gani
Baadhi ya ndoto zimekuwa zikijirudia Sana na baadhi zimekuwa halisi katika maisha yangu
Mfano niliota nafukuzwa kazi na nikafukuzwa kweli bila kosa lolote ,
Baada ya kuoa niliandamwa na mikosi mingi ambayo yote nilikuwa naiota kabla haijatokea
Naomba msaada ili nielewe ndoto zifuatazo:
1. Kuota nakamatwa na Polisi baadae nikatoroka nikakimbis speed
2. Nimeota mtu anakuja na gari jipya la kisasa na ghali Sana duniani nikawa napiga picha kwamba gari la ndugu yangu na watu wakaja wengi ikawa sherehe kubwa , lakini ghafla mama mmoja akawa anasema wanataka kuzika yeye anasema hawezi kuzika mme wa mtu bila mke wake kujua , akalazimishwa kwamba mwili umeoza tuzike akakataa
Je hizi ndoto Zina maana gani na je Zina impact katika maisha kwa kiwango gani
Kama Kuna msaada wa haraka kuzuia haya yote pia naomba kusaidiwa
Ndoto ni nyingi Ila hizi nimezipata jana
Haihusiani kabisatatizo la kula maugali usiku
KUDOSUelewe kwamba ndoto ni njia ambayo Mungu anaitumia sana kusema na mwanadamu
-iwe ni kumoa taarifa ya kitu chochote, kijacho,kilichopita.nk
Km msimaji biblia utanielewa kwa haraka,kina nebkadreza,Farao,Yusufu,Daniel nk....unaona maisha yao ukiwasoma...
Soma Ayubu 33:14-17
Lakini pia hata adui huwa anatumia ndoto kutekeleza baadhi ya mashambulizi!
-shida ni kwamba wengi wanapotosha sana hili eneo kuanzia tafsiri,unamhitaji Mungu ili akusaidie.
-lakini pia ndoto ni hali halisi,unapewa taarifa picha ya kitu kinachokuja,hata kama adui kakupangia mabaya,Mungu anakupa taarifa ili uifanyie kazi, mpaka hapo huwezi kumlaum Mungu sababu taarifa anakupa, ili uombe km jambo baya lisitimie,kama ni zuri uombe litimie!
-mfano wako,uliota unafukuzwa kazi,ilitakiwa ulipoamka,uombe kubatilisha hill jambo lisitokee,na lisingetokea,ss ni vile hukujua ndo limetokea kweli!
....nimeona ni-share na wewe eneo hili kwanza,kabla ya kujibu hizo ndoto zako uelewe kwanza!
Pole sana...
Hakikisha unashiba vizuri kabla ya kulala...
ππππππππππSASA KUSHIBA NA KULA KUNAHUSIANAJE NA NDOTOtatizo la kula maugali usiku
Ukiwa na njaa ukalala utaota ndoto za ajabu ajabu...ππππππππππSASA KUSHIBA NA KULA KUNAHUSIANAJE NA NDOTO
MMMMHUkiwa na njaa ukalala utaota ndoto za ajabu ajabu...