Msaada kuhusu hii Mackbook air min

Msaada kuhusu hii Mackbook air min

iipwisa

Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
36
Reaction score
7
Naomba msaada Nina MacBook air min 13 inchi, nimeitumia kwa muda naona inapungua uwezo wa betri na feni yake inawaka muda mfupi tu baada ya kuanza kuitumia

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom