Msaada kuhusu hii kozi mpya ya petroleum &Gas engineering !

Areas of fields unaweza deal na exploration and production of natural resources like coal,crude oil,water na minerals
Mkuu naomba unisaidie mifano on those areas of field relevant to our country ambayo watanzania wengi wanafaidika kwa kuajiriwa kupitia hii koz ie. companies dealing with exploration and production mineral resources!
 
Tukiwa bado hatujaanza kutupa

karata zetu kwenye mambo ya

udahili 2017/2018 nilikuwa

naomba msaada juu ya hii koz

Ya oil/petroleum & gas ambayo

haina miaka mingi Hapa tanzania

Ktk vyuo vyetu so Kwa mwenye

kujua zaidi kuhusu hii kozi ya

engineering especially Kwenye

Upatikanaji wa ajira both Internal and external.

Coz kumekuwa na habari tofauti za

kusikia kwamba hii ni moja ya kozi

ya engineering ambayo inafuture

Nzuri hapo badae pia wapo

Wanaosema hii ni koz ambayo hina
Ufinyu wa ajira yaani ajira zake ni

probability kupata kutokana na

maeneo machache kwenye hii field

na imebase kwenye Kuajiriwa kuliko kujiajiri.!!!!!

Pls naombeni msaada ndugu zangu !!!!!

Dogo mi sikushauri kusoma Petroleum engineering kwa sasa...ukitaka njoo DM but cha kukushauri tu soma moja ya course zifuatazo..Electrical eng,Mechanical engineering,Civil engineering..hizi hapa ni viraka...petroleun/oil and gas TZ ipo kisiasa sana.Nitafute for more details kama hutomind
 
Poa brother
 
Back
Top Bottom