Msaada kuhusu hii FLASH

Hckcode8

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2016
Posts
370
Reaction score
245
Wakuu habari za mda huu pia poleni na majukumu.......

Tatizo lipo kwenye kwenye flash yangu yaani ukichomeka kwenye pc inaonesha imesoma but ukiitafuta kweny my computer haionaekani!!!!!!!

Natanguliza shukrani

#Aaron
 
Je ukichomeka kwenye kifaa ambacho sio windows inaonyesha? Mfano simu ya android, laptop ya Apple, tv, deki etc
 
Mimi pia nateseka na SD Card ya 32 nimeitumia miezi 9 hadi 15 hivi lakini ss siyo simu wala PC
 
Je ukichomeka kwenye kifaa ambacho sio windows inaonyesha? Mfano simu ya android, laptop ya Apple, tv, deki etc
Nimejaribu kwenye saboof inawaka tu kitaa then baada ya sekunde kadhaa kanazima
 
Nimejaribu kwenye saboof inawaka tu kitaa then baada ya sekunde kadhaa kanazima
Kama no vifaa vyote haisomi itakuwa imekufa, ila kama inasoma baadhi basi itakuwa ime formatiwa na aina ya storage ambayo windows haiitambui.

Unaweza pia ukatafuta low level formating tool yoyote ujaribu kuiformat.
 
Shukran mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…