Msaada kuhusu gharama za matibabu

unyakudongo

Member
Apr 8, 2014
64
44
Naomba kuuliza kwa yeyote aliyewahi kupata matibabu ya macho katika hospitali mpya ya International eye hospital iliyoko Victoria.gharama za kuonana na daktari .
 
sasa hiyo hospital ni mpya, waonaje wewe ukaenda kisha ukaja kutujuza.....?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom