Nisaidieni kujua kuhusu Cooper Ukulaji wake wa mafuta, matunzo yanayofaa, disadvantages zake na advantages, na hiyo speed 260 sustainable kiasi gani kwa hizi road zetu.
Nisaidieni kujua kuhusu Copper Ukulaji wake wa mafuta, matunzo yanayofaa, disadvantages zake na advantages, na hiyo speed 260 sustainable kiasi gani kwa hizi road zetu.
Kuna kimoja kitaa kipya namba D kimetaga zaidi ya mwaka watoto wanaichezea tu..sijui mwenyewe kaisusa,natamani nimpe hata hela nikapambane nacho but sijui A wala B ya changamoto zake
Nisaidieni kujua kuhusu Cooper Ukulaji wake wa mafuta, matunzo yanayofaa, disadvantages zake na advantages, na hiyo speed 260 sustainable kiasi gani kwa hizi road zetu.