Nina mpango wa kununua Noah, naomba kujuzwa je, ni aina gani ambayo ni imara na inakula mafuta vizuri ambayo naweza kuitumia kibiashara na mambo ya nyumbani. Jisikie huru kuambatanisha link kama mada hii ilishajadiliwa.
Ningekushauri ununue NOAH aina ya SR50. They are very durable.
Fuel consumption it depends na uendeshaji wako na mahali gani unapoendeshea. Nimekuwekea picha ili uzione
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.