Ni vyema kabla hujadownload kitu chochote online uwe na info za kutosha kuhusu unachotaka kudownload.. Games (na hata software) nyingi za online huwa zina maelezo yake ya jinsi ya kuinstall.. Zipo ambazo ni cracked na nyingine ni trial..zoye hizo zina njia tofauti ya kuinstall.. Labda uweke link ya huko ulipoidownload hiyo game watu wakiona kama ni trial au cracked wanaweza kukusaidia.. Otherwise ni ngumu kusaidiwa..