Q Qifrishy Senior Member Joined Jul 6, 2014 Posts 169 Reaction score 42 Sep 23, 2014 #1 Habari wakuu. Nina simu aina ya Galaxy Y Duos, shida ni kuwa nikiingia ndani haifanyi kazi kabisa yani network inakata japo za wenzangu zinafanya vizur tu. Je! hapo tatizo ni nini? Na nalitatua vipi? Ahasanteni.
Habari wakuu. Nina simu aina ya Galaxy Y Duos, shida ni kuwa nikiingia ndani haifanyi kazi kabisa yani network inakata japo za wenzangu zinafanya vizur tu. Je! hapo tatizo ni nini? Na nalitatua vipi? Ahasanteni.