Mkongwe03 Senior Member Joined Feb 18, 2014 Posts 150 Reaction score 100 Mar 14, 2020 #1 Idadi ya watu waliolike page yangu ni 25k lakin toka juzi idadi ya watu wanaoreach post yangu imepungua kabisa na kuwa 0 hadi mtu moja tofauti na mwanzo idadi ya watu wanaoreach ilikuwa kubwa zaid. Msaada nini tatizo?? Sent using Jamii Forums mobile app
Idadi ya watu waliolike page yangu ni 25k lakin toka juzi idadi ya watu wanaoreach post yangu imepungua kabisa na kuwa 0 hadi mtu moja tofauti na mwanzo idadi ya watu wanaoreach ilikuwa kubwa zaid. Msaada nini tatizo?? Sent using Jamii Forums mobile app
Chaz Lee JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 590 Reaction score 495 Apr 9, 2020 #2 Itakuwa ume break rule flani, baada ya muda kidogo itakuwa okay!! Sent using Jamii Forums mobile app