tovuti Senior Member Joined Oct 29, 2009 Posts 160 Reaction score 12 Apr 27, 2012 #1 Wakuu kuna mtu aliniomba nimpe facebook id yangu ili aweze kuni add, nikampa jina ninalotumia...akaniambia kuwa hiyo sio facebook id, sasa nauliza hivi facebook id ni nini hasa, na ninaipataje? Natanguliza shukrani
Wakuu kuna mtu aliniomba nimpe facebook id yangu ili aweze kuni add, nikampa jina ninalotumia...akaniambia kuwa hiyo sio facebook id, sasa nauliza hivi facebook id ni nini hasa, na ninaipataje? Natanguliza shukrani
The_Emperor JF-Expert Member Joined Mar 23, 2012 Posts 871 Reaction score 125 Apr 27, 2012 #2 Angalia kwenye profile yako!utakuta (www.facebook.com/username).So unachotakiwa ni kuumpa username mbele ya hiyo slash ya facebook.com
Angalia kwenye profile yako!utakuta (www.facebook.com/username).So unachotakiwa ni kuumpa username mbele ya hiyo slash ya facebook.com
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Apr 27, 2012 #3 tovuti said: Wakuu kuna mtu aliniomba nimpe facebook id yangu ili aweze kuni add, nikampa username ninayotumia...akaniambia kuwa hiyo sio facebook id, sasa nauliza hivi facebook id ni nini hasa, na ninaipataje? Natanguliza shukrani Click to expand... hii ni jibu la google kuhusu matatizo yako ingia HAPA
tovuti said: Wakuu kuna mtu aliniomba nimpe facebook id yangu ili aweze kuni add, nikampa username ninayotumia...akaniambia kuwa hiyo sio facebook id, sasa nauliza hivi facebook id ni nini hasa, na ninaipataje? Natanguliza shukrani Click to expand... hii ni jibu la google kuhusu matatizo yako ingia HAPA