Mie nimejenga mwaka huu chumba kimoja full kina ukubwa wa 4m kwa 4m na choo 1.5m kwa 4m so kwa ujumla kimechukua eneo la 5.5m kwa 4m kimenigharimu milioni 7. Ujenzi wake ni paa la kujificha na pia nilitumia aluminium windows na choo nilijenga cha walemavu chenye sehemu za kushika pembeni. Nilimjengea mzee ili aishi kidon bush
Pia niliweka tiles, gypsum na heater chooni. Hivyo vyote vilikaa kwenye 7m