Lelon Mush
Member
- Sep 16, 2019
- 64
- 15
Ninampango wa kununua printer za Epison.
Naomba kujua ni printer gani ya Epison nzuri yenye gharama nafuu?
Naomba kujua ni printer gani ya Epison nzuri yenye gharama nafuu?
Passport,scanning na coppyUnahitaji kwa ajili ya matumizi gani?
Shukrani kwako mchangiaji. Ila kwa usoefu wangu hizi 3050 zinatatizo ambalo ni common kidogo. Kuna muda ukifika, uwezo wa head hupungua nq kushindwa kuchanganya rangi kwa usahihi (hasa magenta na cyan) picha inakuwa inatoka kama na unjano flan. Hii inapelekea muda mwingi atumie kwenye kuclean head na kufanya power ink flash ama wateja kumuhama kwasababu ya mashine. Kwabajeti hiyohiyo anaweza kupata l220/210/382. Changamoto ya hizi nazo ni akitumia glossy paper (A4) kwa muda mrefu zaidi huwa inahitaji kubadili feeding rollers (japo huchukua muda mrefu). Uchaguzi ni wake aangalie kipi anaweza kustahimili kikitokea. Pia asitumie sana plain paper maana huwa zinatoa ungaunga flani ambao huchosha head mapema.Epson l3050 bei 450k-500k