Msaada kuhusu elimu na Vyeo Jeshini

[emoji38] as far as Connections zipogo maofisini, basi hakuna kitu cha kuaminika hapa
Sasa huyo si ni mmoja tu mkuu nimehitaji na majibu ya watu wengine maana inawezekana yeye huyo ndugu yangu alipata connection
 
Shukrani mkuu umesaidia sana.
 
Ww na dada yako mnawaza vyeo vikubwa kwa maslahi binafsi....nchi hii inahitaji kujinyima kwa ajili ya watu wote...kuwa mwanachi wa kawaida sio mbaya
Hapana mkuu yeye analipenda jeshi na ataenda jeshini bila kujali vikwazo vitakavyojitokeza ila mimi ndo nimeona nimsaidie tu kuuliza
 
Mkuu kwa awamu hii connection nazo zimegoma asee, kuna jamaa yngu yupo jkt anazo tena za wakubwa kabisa lkn naona hazi work out na sasa anajiandaa kurudi nyumbani [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapana mkuu reference ya huyo mmoja haitoshi kwa sababu siwezi jua labda yeye alipata connection na hata hivyo mbona hakuna sehemu niliyompinga mtu kote nimeuliza ili kuondoa utata
 
We jamaa hutaki kabisa kumpumzisha huyu Mdau

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani ananiandama hadi huku kwenye mambo mengine badala ya kunisubiria kule MMU sijui nimemkosea nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yeye analipenda jeshi na amesema ataenda bila kujali vikwazo vya kule ila mimi ndo nimeona nimsaidie tu kuuliza
 
Kama unawaza vyeo jeshini utapata tabu sana kwa nyakati hizi na degree yako bora ukalime nyanya ziwe resources viwandani huko. Jeshi linahitaji kwanza kuwa na self committment na kupenda sio vipaumbele vya vyeo na mishahara.
Mkuu yeye kasema analipenda jeshi na ataenda bila kujali vikwazo vitakavyojitokeza ila mimi ndo nimemsaidia kuuliza tu
 
Mkuu kwa awamu hii connection nazo zimegoma asee, kuna jamaa yngu yupo jkt anazo tena za wakubwa kabisa lkn naona hazi work out na sasa anajiandaa kurudi nyumbani [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Jeshini kunakufaa sana Marianah, huko utakutana na haki sawa ila usiende kwa ajili ya vyeo na mishahara. Jeshi linataka kujitoa na uzalendo kwanza, vyeo na mishahara ni baadae sana.

Kuna fani hapa duniani inabidi uzipende kutoka moyoni, otherwise unaingia then unaanza kujuta. Mimi sina uzoefu na ujeda, nadhani umepata maoni mengi, kila la heri.
 
Kazi kweli kweli, haya nitaenda na mimi ili nikaipate hiyo 'haki sawa' unayoisemea.
 
Kwanza sio lazima mtu apitie JKT ndio aende JWTZ.Kozi zinaenda na mahitaji.Kama Jeshi linahitaji baadhi ya fani ambazo hazipatikani JKT basis hulazimika kutoa matangazo uraiani.Kwa hiyo kwa kuwa sijui hiyo Bachelor ya mdogo wako ni ya fani gani,siwezi kukushauri zaidi ya hapo.Kuhusu Cheo atapata kama afya inaruhusu na akihitimu mafunzo.Mshahara nao pamoja na Posho mbalimbali ni nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…