Msaada kuhusu elimu na Vyeo Jeshini

Kupata ajira kwenye majeshi yetu sasa hivi ni mbinde,kila mwaka wanarudishwa nyumbani magraduate wakujitolea JKT baada ya kukaa huko zaidi ya miaka miwili.
Nina binamu yangu ni graduate batch yao wamerudishwa mwezi wa saba.
Aise
 
Mdogo wako ana shahada ya chuo kikuu. Papo hapo bado anakuhitaji wewe kumwandikia kuulizia juu ya ajira! Hii inanipa mashaka na elimu aliyopata.
 
Mdogo wako ana shahada ya chuo kikuu. Papo hapo bado anakuhitaji wewe kumwandikia kuulizia juu ya ajira! Hii inanipa mashaka na elimu aliyopata.
Halafu hasemi ni shahada ya nini, unaenda jeshi na shahada ya wildlife unategemea nini
 
Mdogo wako ana shahada ya chuo kikuu. Papo hapo bado anakuhitaji wewe kumwandikia kuulizia juu ya ajira! Hii inanipa mashaka na elimu aliyopata.
Mkuu nimetafuta sehemu niliyoandika kuwa huyo mdogo wangu ananihitaji mimi nimuandikie nimuulizie juu ya ajira ila hiyo sehemu nimeikosa labda wewe uninukuu kisha unionyeshe ni wapi nimeandika hivyo

Ungejaribu kusoma walau baadhi ya comments na replies za kule juu au labda unadhani kila mtu yupo Jamii Forums? Sidhani kama ingekuchukua gharama yoyote kuniuliza ambapo hukuelewa kuliko kujipa uhakika wa hicho ulichokiandika!
 
Halafu hasemi ni shahada ya nini, unaenda jeshi na shahada ya wildlife unategemea nini
Kwa aliyehitaji kujua aliuliza kule juu na nilishamjibu
 
Kama unapenda jeshi nenda kajiunge,
Vyeo au mshahara visiwe miongoni mwa sababu ya kukupeleka jeshini.

Jeshini kuna hii inaitwa flexibility,,

Yaani muda wowote tegemea lolote kutokana na situation iliyopo...

Kila la heri.

.
 
Mwee Haya
 
Intake ni kulingana na hitajio, ila cadet kila baada ya miaka mitatu. If you are interested njoo PM nikujuze vizuri.
 
Nimekupata Mkuu,sikubahatika kumfatilia ni Engineer wa nini
 
Lkn kanali sio mtu mdogo mkuu.
Aisee Kanali co kizembe kama watu wanavyofikiria maana kuna vyeo kama vitano hapo ndo umfikie Kanali kwa upande wa nyota

1: Luteni ya kwanza(NYOTA MOJA)

2:Luteni ya pili. (NYOTA MBILI)

3: Kepteni. (NYOTA TATU)

4:Major. (BIBI NA BWANA)

5:Luteni Kanali. (BIBI NA BWANA NA NYOTA MOJA)

6:Kanali (BIBI NA BWANA NA NYOTA MBILI)
 
We tulia ufanye maisha mengine... Hakuna wajuvi humu tutakurusha tu humu.

Nina mdogo wangu karudi juzi na aliingia na degree ya archtecture toka ardhi..

Karudi juzi nikiwa na maana kakosa ajira na degree yake.. Na hapo alishakaa kule miaka miwili wakaambiwa waongezewe 6 wasubiri ajira na bado mambo yakaenda mlama... Nipo nae hapa anapiga chai huku anajilaumu kupoteza muda wake na kuacha deal zake kibao..

Kama shule hipo msimamie apate michongo mingine.. Kama hamna shule mtie business maisha yaende.

Kule ni bahati tu man.. Teena bipa referee hata iyo bahati unaweza usipate.
 
Hali imebadirika mkuu hata ukiwa na mbanga haukupi guarantee ya kukukingia mgongo Mana nao wanaogopa kutumbuliwa na amri jeshi mkuu .
 
Hali imebadirika mkuu hata ukiwa na mbanga haukupi guarantee ya kukukingia mgongo Mana nao wanaogopa kutumbuliwa na amri jeshi mkuu .
Hamna kilicho badilika Mkuu,jeshini ni order tu inatolewa kitu kinatekelezwa nakupa mfano hai majuzi hapa kuna waliorudi makwao ila kati ya hao waliopaswa kurudi nyumbani kuna watu walikuwa na marefa na wamebakishwa vikosini.

Jeshini aliye juu yako huwezi kumpinga akisema kitu kifanyike kinafanyika na sio ombi ni lazima ndo maana haya madude ya kubebana hayataisha kamwee!
 
Yeye anataka kuwa mwanajeshi!
Mkuu nadhani nilikwambia kule tunafuata uzalendo na sio pesa/vyeo,soma hio link hapo chini mkuu.

Nimeona na ndiyo maana nikasema yeye mdogo wangu anasema analipenda jeshi kutoka moyoni na ataenda bila kujali vikwazo vyovyote na wala hakuniomba mimi nimuulizie humu ila mimi ndiyo nimeona niulize ili nipate ujuzi na pia nimpe taarifa kwa atakayohitaji kuyajua kuhusu jeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…