chiddy boy
Member
- Jan 2, 2017
- 86
- 25
Ahsante mkuu,vipi ila ajira zake hazisumbuiMoja ya combination bora kabisa.
Unaweza kufanya
B.Art -Economics
B.Comm-Accounting, Finance,HRM, Materials Management
Hizo ni mimi nilizokuwa najua wakati Namaliza Tambaza 1999 nika ingia Udsm 2000 nikafanya B.Comm Accounting
Mkuu matokeo yng ya o level niWengine wameshaonyesha, kama ulisoma physics olevel na kupata C, kozi zote za engineering za sua unaweza kusoma.
Ahsante mkuu kwa kwa huo muongozo wa kunifahamishaBcom-procurement and supply
Bcom-finance
Bcom-accounting
Bcom-market
Bcom-hrm
Bcom-management science
Bcom-tourism and hospitality
Bcom-international business
B.a-economics
B.a-economics and statistics
Baed-ecocomics and geography,mathematics
B.sc-land evaluation and management
B.sc-building economics
Umefeli hapo, inahitajika c ya physics na chemistry o-level.Mkuu matokeo yng ya o level ni
Math C
Geo C
Bios C
English B
Kiswahili C
Chemistry D
History D
Civics D
Phyz F
kila la kher mungu akutangulie kwenye masomo yako na uwe na plan b wakat umalizapo masomo yako....Ahsante mkuu kwa kwa huo muongozo wa kunifahamisha
Bcom-procurement and supply
Bcom-finance
Bcom-accounting
Bcom-market
Bcom-hrm
Bcom-management science
Bcom-tourism and hospitality
Bcom-international business
B.a-economics
B.a-economics and statistics
Baed-ecocomics and geography,mathematics
B.sc-land evaluation and management
B.sc-building economics
ni kweli kwa mchango wako shukrani...ILA UWE UMESOMA PHY O LEVEL UMEPATA C
Kwann mkuuMdogo wangu nenda kasome CBG, EGM haitakupeleka unapopenda,
Sawa nimekuekewa mkuu ahsantekila la kher mungu akutangulie kwenye masomo yako na uwe na plan b wakat umalizapo masomo yako....
Kwahyo mkuu kuipata EGM mpaka upate C ya phyz na chemistry,au?Umefeli hapo, inahitajika c ya physics na chemistry o-level.
hujanielewa, kama unataka kusoma engineering za sua(Agriculture Engineering, water and irrigation engineering nk) kwa mtu wa EGM anaweza kusoma ila sharti matokeo yake ya O Level awe amepata angalau C kwenye Physics na Chemistry. kwa matokeo yako hauwezi kusoma hizo kozi za engineering za sua.Kwahyo mkuu kuipata EGM mpaka upate C ya phyz na chemistry,au?
Apo nimekuelewa mkuu ahsantehujanielewa, kama unataka kusoma engineering za sua(Agriculture Engineering, water and irrigation engineering nk) kwa mtu wa EGM anaweza kusoma ila sharti matokeo yake ya O Level awe amepata angalau C kwenye Physics na Chemistry. kwa matokeo yako hauwezi kusoma hizo kozi za engineering za sua.