Za Sa hv wakuu nahitaji msaada wenu, kuhusu ebay kwa mtu aliye wahi pata mzigo via ebay.
Za Sa hv wakuu nahitaji msaada wenu, kuhusu ebay kwa mtu aliye wahi pata mzigo via ebay.
Mkuu...ukinunua kitu Ebay ni uhakika..
Cha msingi hakikisha unakuwa na VISA au MASTER CARD.Utafungua account ya Ebay na nashauri kwa usalama zaidi ujiunge na Paypal kwa ajili ya secured transactions.]Mie nina mwaka wa tatu natumia Ebay na vitu vinafika kwenye sanduku la posta la kijijini kwetu salama salimini.
Mkuu, mbona naskia ktk hz posta zetu wizi umezid? V2 kama laptops na simu kuna wakati huwa wanajichukulia. Mi nataman sana kununua v2 ebay lakin ttzo lnakuja ktk ku ship huo mzgo. Na bdo cjajua gharama za kuship mzgo kuja tanzania kwa ku2mia dhl au fedex

Dah... hili tatizo wengi huwa wanalilalamikia! Sijui kama Shirika la Posta lina taarifa hizi???
Hapo kwenye bold siyo kweli mkuu as long as US postal services imepokea mzigo, muuzaji kanawa mikono. Ndo maana unashauriwa kulipia bima ya mzigo. Mwenyewe nina uzoefu wa miaka kibao na Ebay + posta ya Tanzania. Ninachofanya nikipeleka mzigo na track mpaka ukifika custom, natuma jamaa wakauchukue bila kusubiri posta wakutumie card ya kuchukulia mzigo.Ukinunua kitu wanakupa tracking number...na kama mzigo hautafika yule aliokuuzia atakutumia tena maana wanajali sana feedback reputation.
nakuambia nimekuwa Ebay kwa muda na nimenunua simu,laptops nk na vyote vimefika.
usisikilize maneno ya mtaani.
FedEx/DHL ni ghari sana, mwezi uliopita nilituma Laptop ya uzito karibu 5kg, walinilipisha karibia $100.00 hiyo ni USPS ingekuwa FedEx/DHL ingekuwa zaidi ya $200Mkuu, mbona naskia ktk hz posta zetu wizi umezid? V2 kama laptops na simu kuna wakati huwa wanajichukulia. Mi nataman sana kununua v2 ebay lakin ttzo lnakuja ktk ku ship huo mzgo. Na bdo cjajua gharama za kuship mzgo kuja tanzania kwa ku2mia dhl au fedex
Mkuu, mbona naskia ktk hz posta zetu wizi umezid? V2 kama laptops na simu kuna wakati huwa wanajichukulia. Mi nataman sana kununua v2 ebay lakin ttzo lnakuja ktk ku ship huo mzgo. Na bdo cjajua gharama za kuship mzgo kuja tanzania kwa ku2mia dhl au fedex
Nimetuma mara nyingi vitu, sijawahi ibiwa hata kimoja.
Natuma simu, Laptop na mara chache security camera.Vi2 kama vip yani? Coz watu v2 vdogo huwa wana2mia posta. Lakn vitu kama laptop au cmu ndo inakuwa majanga
Natuma simu, Laptop na mara chache security camera.