Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,775
Nilituma maombi nimefanikiwa kuchaguliwa, kama kuna aliyewahi kushiriki kwenye program za hawa jamaa namwomba apa anipe uzoefu.
Fafanua ni ya wale wajerumani au ipi.....shirika gani?Nilituma maombi nimefanikiwa kuchaguliwa, kama kuna aliyewahi kushiriki kwenye program za hawa jamaa namwomba apa anipe uzoefu.
Hawa hapa mkuu DOT TanzaniaFafanua ni ya wale wajerumani au ipi.....shirika gani?
Hawa siwajui....nlidhani ni wajerumani flani wako morocco dsm.Hawa hapa mkuu DOT Tanzania
Okay mkuuHawa siwajui....nlidhani ni wajerumani flani wako morocco dsm.
DOT YLP ni leadship program ambayo sisi tulikuwa waanzilishi last year, Lengo la program hii ni kuwandaa vijana ili wawe viongozi wazuri kwenye jamii wanayotoka, no program nzuri Sana na unaisoma online lakini kuna wakati itakulazimu uhudhurie face to face session na wanaprovide lunch.Nilituma maombi nimefanikiwa kuchaguliwa, kama kuna aliyewahi kushiriki kwenye program za hawa jamaa namwomba apa anipe uzoefu.
Okay, kwa wanaotoka mikoani ikoje? Niko Moro na j3 ni face to face sijui wa mikoani inakuwajeDOT YLP ni leadship program ambayo sisi tulikuwa waanzilishi last year, Lengo la program hii ni kuwandaa vijana ili wawe viongozi wazuri kwenye jamii wanayotoka, no program nzuri Sana na unaisoma online lakini kuna wakati itakulazimu uhudhurie face to face session na wanaprovide lunch.