Msaada kuhusu doctor of pharmacy

Msaada kuhusu doctor of pharmacy

Timanz

New Member
Joined
Jun 21, 2017
Posts
4
Reaction score
2
Nimehitimu kidato cha sita mwaka huu. Nimepata kusikia kidogo kuhusu kozi ya Doctor of Pharmacy(pharm D.)

Naomba kufahamu kama kuna chuo tanzania kinatoa hyo koz au kama kuna mpango wa kuianzsha.

Pili nahitaji kujua kuhusu career yake yan baada ya hapo mtu anakua ana deal na nini?
 
subiri matokeo kijana!!!!!matokeo yakitoka utajua kama ipo au haipo...
 
Hehehhehhehe hakuna kitu hicho dogo

Kuna bachelor of pharmacy aka Bpharm
 
Nimehitimu kidato cha sita mwaka huu. Nimepata kusikia kidogo kuhusu kozi ya Doctor of Pharmacy(pharm D.)
Naomba kufahamu kama kuna chuo tanzania kinatoa hyo koz au kama kuna mpango wa kuianzsha.
Pili nahitaji kujua kuhusu career yake yan baada ya hapo mtu anakua ana deal na nini?

Hapa TZ hakuna Pharm D labda ukasome nje

Alternatively unaweza soma Bpharm hapa bongo then ukasoma na Mpharm Clinical Pharmacology
 
Back
Top Bottom