Mkuu ungetueleza kua hiyo receiver unataka kuitumia hapa au nje ya nchi tena ungetaja ingekua vema. kuhusu kupata signal unaweza kutumia dish lolote isipokua lazima liwe na ukubwa kati ya ft2.5 na ft3.
Dish peke yake la dstv ni 60000 kwa hapa ifakara
Hilo ni futi ngapi?
Je wanakupa na LNB?
Mkuu madishi yote yana principle moja ya kufanya kaz likiwa kubwa linakuwa na focal length kubwa pia lkn haina haja kanunue tu la dstv km jiran yko ana dstv unaweza kutumia lake cha kufanya nunua splitter na cable yko kila mtu atabadilisha channel kivyake kweny receiver yke. Afu hujasema kuhusu kadi ya receiver yko ndo kitu muhim hata kuliko hyo receiver umenunua nchi gan za dstv znatofautiana kutokana na zone nwdays
mkuu nilinunua mji unaitwa Livingstone Zambia,ilikua ni offer ya xmas na bei ilikua murua kuliko hapa kwetu na kadi ipo pia mkuu na niliambiwa kadi ile ni internationawise,ahsante kwa maelezo yako mazuri.
Kabla ujanunua chochote kwanza piga namba hii 0222199600 watajie namba ya kadi na namba ya dekoda kisha sema kama umenunua nje ya bongo wao watakwambia kama inafaa au wakuuzie nyingine hayo Madekoda ya nje mara nyingi huwa ayatumiki hapa bongo ukikwama sema
uliona offer ila ikigoma inakuwa majanga sungenunua tu hapahapa tu maana ni 149000 tu