yahyakabila
Member
- Aug 11, 2016
- 19
- 10
Sio lazima ukasome ualimu ivi nyie vijana mbona mmng'ang'ania sana ualimuNina elimu ys form six nataka kusoms ualim diploma ya secondar lkn nadikia mwaka huu hakuna diploma ya secindar nimeshauriwa nichukue diploma ya msingi, kwahyo nikisoma hiyo diploma ya msingi nikifaulu vizuri naweza kuja kuomba digree ya ualim wa secindary?
Ndugu yangu sisi watoto wa wakulima bhana, utasoma IT, vyeti si vitaozea ndani kaka, sio kusoma tu ilimradi umesoma pia unaangalia gursa ya ajira kk.Sio lazima ukasome ualimu ivi nyie vijana mbona mmng'ang'ania sana ualimu
Andika secondaryNina elimu ys form six nataka kusoms ualim diploma ya secondar lkn nadikia mwaka huu hakuna diploma ya secindar nimeshauriwa nichukue diploma ya msingi, kwahyo nikisoma hiyo diploma ya msingi nikifaulu vizuri naweza kuja kuomba digree ya ualim wa secindary?
Form six nina four Principal 1 na subsijr 1Umewaza vizur ingawa wengi hawakuelewi
Ulipataje matokeo yako ya kidato cha sita
Wewe muongo bhana diploma ya msing ipo certficate ndi hakuna sasa hivi.Diploma ya msingi yenyewe haipo
Ni kweli diploma ya msingi ipo ambayo ndo kigezo cha kusoma diploma na sio form six.Wewe muongo bhana diploma ya msing ipo certficate ndi hakuna sasa hivi.
Taja chuo chochote chenye wanafunzi wa diploma ya prmaryWewe muongo bhana diploma ya msing ipo certficate ndi hakuna sasa hivi.
Nakuunga mkonoTaja chuo chochote chenye wanafunzi wa diploma ya prmary
uo=huoDuuuuuh aiseeee hii hatari kwa uo uandishi wako nawewe unataka kua mwalimu..... Duuh... Mama ndalichako unakazi kubwa sana....katika kuboresha elimu ya nchi hii...
Leo umewakuta watu wapo katika mood nzuri...kwa uo uandishi wako ungejibiwa vibaya mpaka ukajuta kuanzisha thread Jf..
Hahahahahah!wazo lako zuri ..soma diploma ya msingi kisha utasoma degree ya msingi ...usijali mwanangu...
sent from Sodoka Web....
Walikuwepo hapa BUTIMBA TEACHER TRAINING COLLEGE wamehamishwa wote kwenda Bunda TTC Tarime TTC&Murutunguru TTC now Chuo kipo katika ukarabati wa hali ya juu kupokea vijana toka UDOM wao pia wanakuja kusoma Diploma in primary educationTaja chuo chochote chenye wanafunzi wa diploma ya prmary
Walikuwepo hapa BUTIMBA TEACHER TRAINING COLLEGE wamehamishwa wote kwenda Bunda TTC Tarime TTC&Murutunguru TTC now Chuo kipo katika ukarabati wa hali ya juu kupokea vijana toka UDOM wao pia wanakuja kusoma Diploma in primary educationTaja chuo chochote chenye wanafunzi wa diploma ya prmary
Muwongo wew wanaenda kusoma uwalimu wa secondary na sio primary. Primary wamepangiwa kasulu, tabora, moshiWalikuwepo hapa BUTIMBA TEACHER TRAINING COLLEGE wamehamishwa wote kwenda Bunda TTC Tarime TTC&Murutunguru TTC now Chuo kipo katika ukarabati wa hali ya juu kupokea vijana toka UDOM wao pia wanakuja kusoma Diploma in primary education
Walikuwepo hapa BUTIMBA TEACHER TRAINING COLLEGE wamehamishwa wote kwenda Bunda TTC Tarime TTC&Murutunguru TTC now Chuo kipo katika ukarabati wa hali ya juu kupokea vijana toka UDOM wao pia wanakuja kusoma Diploma in primary education