Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 599
- 206
Mimi mwenyewe hio taarifa nimekutana nayo ilaa cjajua kma ni ya kweli au utapeliKatika pita pita zangu huku whatsapp kuna mtu aka share hii compony ya DIAMOND TRADERS INVESTMENT PROGRAM nika mfuata akanipa namba za mwenyekiti wa hiyo compony ambapo una wekeza kiasi flan harafu unalipwa yaani mfano ukiwrkeza elfu 30 unalipwa elfu 28 mara 3 ndan ya siku 9 sasa nikamuuliza nitamuuamin vipi akanitumia lesen yao na kila kitu ambavyo vyote nime attach apa sasa mimi nataka kujua hivi hii compony ni kwel au ndio kuna janja janja na je kuna mtu yeyote aliwahi kujiunga nao na kama hawa janja janja je kuna mtu yeyote anayejua taasisi ya aina kama hii ambayo ni ya ukwel( samahani kwa kiswahili kibovu lakini vitu vingi nime attach hapa chini)View attachment 1193703View attachment 1193704View attachment 1193705
Hahahaha mkuuu mkuuuuuChangamkieni fursa hiyo, yaani unawapa elfu 30 tu halafu we unakuwa unapokea tu pesa raha ilioje kuzaliwa Tanzania
Tatizo ya izi mambo mkuu ni kwamba ndugu kabisa ndo anakuletea habari so hata kupinga inakua ngumuKamwe usithubutu mkuu,hata uliambiwa 500 kimbia, sitosahau skyinvestiment walichofanyua watu... jiulize wao wanapata wap pesa ya kukupa? Watasema wanatrade forex au kununua coins mbalimbali au wame invest biashara za online zikianguka ww unaponaje?
Tatizo ya izi mambo mkuu ni kwamba ndugu kabisa ndo anakuletea habari so hata kupinga inakua ngumu
Sure mkuu... lazma nipambane nae kwanzaMzee akupe guarantee kabisa ukipigwa akulipe,mm mwenyewe niliingia choo sababu ya ndugu,nilishndwa kudai maana hata yeye alikuwa analia
Umesema ukwelAlafu hii kampuni cha ajabu sioni website yao
Mkuu unajua kampuni gani kama hiiUmesema ukwel
Ukionaga mahali popote kuna pesa ya haraka ujue loss kubwaaKatika pita pita zangu huku whatsapp kuna mtu aka share hii compony ya DIAMOND TRADERS INVESTMENT PROGRAM nika mfuata akanipa namba za mwenyekiti wa hiyo compony ambapo una wekeza kiasi flan harafu unalipwa yaani mfano ukiwrkeza elfu 30 unalipwa elfu 28 mara 3 ndan ya siku 9 sasa nikamuuliza nitamuuamin vipi akanitumia lesen yao na kila kitu ambavyo vyote nime attach apa sasa mimi nataka kujua hivi hii compony ni kwel au ndio kuna janja janja na je kuna mtu yeyote aliwahi kujiunga nao na kama hawa janja janja je kuna mtu yeyote anayejua taasisi ya aina kama hii ambayo ni ya ukwel( samahani kwa kiswahili kibovu lakini vitu vingi nime attach hapa chini)View attachment 1193703View attachment 1193704View attachment 1193705
Ndio maana yake yaani hapo ndio tqtzoUkionaga mahali popote kuna pesa ya haraka ujue loss kubwaa
Watu wameshakula hasaraa ukooo jana iooIyo hela nipe tu mimi niku tunzie
washaliwaa ukooooIyo hela nipe tu mimi niku tunzie
KIUFUPI HAWA WATU NI MATAPELI, MIMI KAM MMOJA YA WAHANGA, NILIJARIBU KUWEKEZA, JAPO NAFSI ILISITA. WANAKUSANYA WATU NA WAKIPATA WATU WA KUTOSHA NA HELA YA KUTOSHA WANAPOTEA NA KUWAACHA NA MAGROUP YENU.Katika pita pita zangu huku whatsapp kuna mtu aka share hii company ya DIAMOND TRADERS INVESTMENT PROGRAM nikamfuata akanipa namba za mwenyekiti wa hiyo company ambapo una wekeza kiasi fulani halafu unalipwa yaani mfano ukiwekeza elfu 30 unalipwa elfu 28 mara 3 ndan ya siku 9 sasa nikamuuliza nitamuuamini vipi akanitumia lesen yao na kila kitu.
Nime attach apa sasa mimi nataka kujua hivi hii company ni kweli au ndio kuna janja janja na je kuna mtu yeyote aliwahi kujiunga nao na kama hawa janja janja je kuna mtu yeyote anayejua taasisi ya aina kama hii ambayo ni ya ukwel( samahani kwa kiswahili kibovu lakini vitu vingi nime attach hapa chini)View attachment 1193703View attachment 1193704View attachment 1193705