Msaada kuhusu course zilizopo SAUT

Msaada kuhusu course zilizopo SAUT

baby nillaah

Senior Member
Joined
Apr 7, 2017
Posts
110
Reaction score
64
Habari wanajamvi Mimi nahitaji kujiunga na chuo cha SAUT Mwanza ngazi ya Diploma.

Swali langu je? Ni kozi ipi nzuri kwa Sasa katika soko la ajira maana cheti nilisoma community development HOMBOLO Dodoma, nahofia kuendelea nayo sababu ajira zake Sina hakika Kama zinapatikana kwa urahisi. Mnisaidie coz ipi nzuri au niendelee na hii tu
 
Kwann usome SAUT Wakati hata huko Hombolo Diploma zipo!?
 
Habari wanajamvi Mimi nahitaji kujiung na chuo cha SaUT mwanza ngazi ya diploma....swali langu je? Ni kozi ipi nzuri kwa Sasa katika soko la ajira maana cheti nilisoma community development HOMBOLO dodoma,,,nahofia kuendelea nayo sababu ajira zake Sina hakika Kama zinaptikna kwa urahisi.....mnisaidie coz ipi nzuri au niendelee na hii 2
Follow your Heart...
 
Habari wanajamvi Mimi nahitaji kujiunga na chuo cha SAUT Mwanza ngazi ya Diploma.

Swali langu je? Ni kozi ipi nzuri kwa Sasa katika soko la ajira maana cheti nilisoma community development HOMBOLO Dodoma, nahofia kuendelea nayo sababu ajira zake Sina hakika Kama zinapatikana kwa urahisi. Mnisaidie coz ipi nzuri au niendelee na hii tu
Ulishapata?
 
Back
Top Bottom