Mhhhh bado cjakusoma johMara nyingi sio rahisi kufanya unlinking ya beat na vocals katika mp3 au hata wav bila kuacha fragments (midi,guitars,trumpets). ila kama ni kwa ajili ya basic use (un-professional) unaweza tumia virtual dj, audacity au hata fl studio kuondoa kick na beats za low pitch na kuacha vocal na fragments za high pitch.
Ok thanks bro ila sasa zile compiled files za instrumental ambazo tunadoenload unataka nambia wamekusanya kutoka kwa maproducer wa zile nyimbo?ni ngumu sana wimbo "ukishaurend" kupata beat zake..ni sawa na chai ukishaiweka majani na sukari ni ngumu sana kutoa hayo majani na chai ubakishe maji meupe pekee..
hata virtual DJ haiwez kufanya kazi hiyo...
kuna option mbili tu kupata instrumental
1.kupata origin file kwa producer..
2.au kulitengeneza (compose) wewe mwenyewe
yap..ni maprouducer au wasanii wenyewe wanaamua kusambaza instrumental zao..maana mtu kabla hajarecord anapewa beat ya mazoezi..Ok thanks bro ila sasa zile compiled files za instrumental ambazo tunadoenload unataka nambia wamekusanya kutoka kwa maproducer wa zile nyimbo?
Poa bro!! Ngoja nijaribuKwa nyimbo za kingereza unaweza pata hapa baadhi..visingeli hamna
Hipstrumentals
Au
https://www.gotinstrumentals.com/