msaada kuhusu compaq presario CQ61

kherry

New Member
Joined
May 9, 2013
Posts
2
Reaction score
0
nina compaq presario ilikuwa na windows vista nikabadilisha nikaweka ubuntu lakini USB ports zote hazikufanya kazi baada ya kubadilisha, sasa nataka kurudisha vista inashindikana, nimejaribu windows zote kila inapoanza ku-install windows inaleta blue screen na kuandika "bios is not full ACPI complient" ukiweka linux inakubari vizuri ila USB port hazifanyi kazi. naomba mawazo yenu wadau.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…