Cm yangu inamiez 3 nikiitouch inavibrate na kuleta application nyingi nyingi baadae inaandika recent' wakati mwingine touch inagoma kabisa! Nikiwa naandika msg inarudia rudia maneno msaada nifanyeje?
Cm yangu inamiez 3 nikiitouch inavibrate na kuleta application nyingi nyingi baadae inaandika recent' wakati mwingine touch inagoma kabisa! Nikiwa naandika msg inarudia rudia maneno msaada nifanyeje?
Jaribu kufanya hard rest
Zima simu
kisha bonyeza volume key na power key kwa pamoja kwa sekunde 20 hadi 30
Itatokea screen inayoonyesha uchaguzi wa kufanya hard rest au factory reset
NB kuna uwezekano wa kupoteza data zako zote na simu ikarudi kama inatoka kiwanndani leo
good luck