kamikaze
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 439
- 649
Nimeona chinese scholarship zimetangazwa, sasa kuapply kuna njia mbili, kuna kuapply moja kwa moja kwenye chuo unachotaka kusoma na njia nyingine ni kuapply kupitia ubalozi wa china, Kwa wazoefu wa hii kitu naomba mnishauri ipi ni njia nzuri ya kuapply isiyo na figisu figisu!