Kibundi wa getto
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 455
- 878
Jamani mimi nataka kufahamishwa, ivi cheki za bank zinafanya kazi vipi. Yani process nzima, vigezo vya kumiliki kitabu cha cheki na usalama wa cheki pale unapomuandikia mtu akachukue ela.
Sema hakyamungu.........Check lazima uwe na account isiyopungua milioni 200
Check lazima uwe na account isiyopungua milioni 200
Nadhani hujanielewaAcha uongo. Cheque book zinatolewa(hapa kwetu kwa banks nyingi) kwa wale wenye account za biashara (Current Account) tu na sio wenye account za akiba(Savings account)
Na wewe acha uwongo hata savings account ukitaka unapewa cheque.Acha uongo. Cheque book zinatolewa(hapa kwetu kwa banks nyingi) kwa wale wenye account za biashara (Current Account) tu na sio wenye account za akiba(Savings account)
Afu hiyo ela ya usumbufu anapewa Nani bank au mteja aliyepewa hawala?Ukimwandikia mtu cheque wakt akaunti haina hela utachajiwa hela ya usumbufu
Duh! unatisha........Check lazima uwe na account isiyopungua milioni 200
Unaelewa tofauti ya "Zote" na "Nyingi"?Na wewe acha uwongo hata savings account ukitaka unapewa cheque.
Check lazima uwe na account isiyopungua milioni 200
Unaweza kutoa mfano wa bank inayotoa cheque book for saving accounts?!
DTB pia.tena sikuwaomba walinipigia wenyewe.Unaweza kutoa mfano wa bank inayotoa cheque book for saving accounts?!
CRDB. tena huwa ni 'open'. cross lines unaweka mwenyewe ukifanya malipo.
Acha kunukuu yasio na ushahidi fanya utafiti ndio useme jambo bibieCheck lazima uwe na account isiyopungua milioni 200
Utafiti JF?Acha kunukuu yasio na ushahidi fanya utafiti ndio useme jambo bibie