kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,863
- 3,099
wakuu habari zenu msaada kuhusu camera kwenye itel yangu kila nikitaka kupiga inakataa inaleta neno cant connect to the camera,please check whether other application running in backgroung using camera (such as flashlight)close it and try again dah hata nimeshindwa kuset maana flashlight nimezima tatizo sijui nini
Ikiwa hujafanikiwa fuata hii ikishindakana rudi na ueleze tena.Reset
mkuu hii reset naipata sehemu gani siioniReset
Ubaya sijawahi kutumia itel...mkuu hii reset naipata sehemu gani siioni
sijaiclose mkuu niliogopa app zitapotea zoteUmejaribu kuizima? Ikiwa ni no. Umejaribu kuiclose kama ilivyokuelekeza?
bado tatizo haliishi nimejaribu kufanya hivyo hakuna kitunenda kwenye setting alafu sehemu yenye App then tafuta App ya Camera itaclick force stop baada ya hapo zima simu yako.ukiwasha tatizo litakua limekwisha
Fuata ilivykutaka Kwanzaa kwa kuclose hiyo njia hapo.bado tatizo haliishi nimejaribu kufanya hivyo hakuna kitu