naona umeleta ya mwanafunzi au below age.
We ushasahau uko menopauseWabobezi wapo
Hahaha. We jamaa rudia notes zako za sayansi drs la saba. mzunguko huo matukio ni yale yale kwa wanawake wote isipokuwa kila mtu na tarehe yake kutegemeana alianza hedhi lini.Siku 7 hedhi, 8 - 12 hazina ishu selebuka tu, siku ya 13 - 17 denja km hutaki mtoto,nzuri kama unataka mtoto, 18 - kuingia hedhi tena zote safe.Kama sijasahau sayansi.Wakuu amjambo
Ningependa kujua nikwamba kila mwanamke hutembelea calendar hii ya siku za hatari inayoanzia kwenye tarehe 11 adi tareh 18 ? Au kila mwanamke Ana yakwake maana nais kuna manzi anataka kutegesha bomu .
Kusema wanawake wote huko ni kukremu vp anaéona hedhi every 2weeks na zikizid sana ni 3 kamili huyo nae cycle yake ikoje😁 mbona haiitaji hata akili nyingi kuelewa hili jamboHahaha. We jamaa rudia notes zako za sayansi drs la saba. mzunguko huo matukio ni yale yale kwa wanawake wote isipokuwa kila mtu na tarehe yake kutegemeana alianza hedhi lini.Siku 7 hedhi, 8 - 12 hazina ishu selebuka tu, siku ya 13 - 17 denja km hutaki mtoto,nzuri kama unataka mtoto, 18 - kuingia hedhi tena zote safe.Kama sijasahau sayansi.
Fanya mpango ulee hicho kiumbeWakuu amjambo
Ningependa kujua nikwamba kila mwanamke hutembelea calendar hii ya siku za hatari inayoanzia kwenye tarehe 11 adi tareh 18 ? Au kila mwanamke Ana yakwake maana nais kuna manzi anataka kutegesha bomu .
Fanya mpango ulee hicho kiumbeWakuu amjambo
Ningependa kujua nikwamba kila mwanamke hutembelea calendar hii ya siku za hatari inayoanzia kwenye tarehe 11 adi tareh 18 ? Au kila mwanamke Ana yakwake maana nais kuna manzi anataka kutegesha bomu .
Wewe kalenda ya wanawake ya ninj?Wakuu amjambo
Ningependa kujua nikwamba kila mwanamke hutembelea calendar hii ya siku za hatari inayoanzia kwenye tarehe 11 adi tareh 18 ? Au kila mwanamke Ana yakwake maana nais kuna manzi anataka kutegesha bomu .
Kuna wenye cycle ndefu mf siku 34 wengine fupi mf siku 28 .Huyu wa 28 ina maana kwa mwezi anaweza ona hedhi 2 mfano shm ya hedhi ya desemba ilienda hd januari 2.Mwishoni mwa januari anaingiia tena.Kusema wanawake wote huko ni kukremu vp anaéona hedhi every 2weeks na zikizid sana ni 3 kamili huyo nae cycle yake ikoje😁 mbona haiitaji hata akili nyingi kuelewa hili jambo
Shida yote ya nini mkuu, tumia condom au kojolea nje [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]siku kuna hadi vidonge vya kumeza baada ya tendo,,,,,,,,jitayarisha tu ulee kiumbe: ushayakanyaga ( in mandonga's voice)Wakuu amjambo
Ningependa kujua nikwamba kila mwanamke hutembelea calendar hii ya siku za hatari inayoanzia kwenye tarehe 11 adi tareh 18 ? Au kila mwanamke Ana yakwake maana nais kuna manzi anataka kutegesha bomu .
Fupi sio 28, 28 ni kawaida.. fupi ni kuna 26, na wengine nasikia wapo mpka wa 21/22Kuna wenye cycle ndefu mf siku 34 wengine fupi mf siku 28 .Huyu wa 28 ina maana kwa mwezi anaweza ona hedhi 2 mfano shm ya hedhi ya desemba ilienda hd januari 2.Mwishoni mwa januari anaingiia tena.
Wa hedhi wiki mbili mbili. Mmm labda hormonal imbalance.Sio kawaida.Ule mzunguko una theory yake.
Siku za hatari ni 14 hadi 16. Lakini kwa usalama zaidi tunaweka +2, na -2. Yaani (14-2) na (16+2). Hyo ndo inaleta 12 hadi 18. Wengi wanaanzia 11 kwasababu mbegu ya kiume inaeza kukaa hadi masaa 48 ikiwa bado hai. Hyo ni moja.
Mbili, kila mwanamke ana mzunguko wake, kuna wa 28, 32, 36 n.k.. Hivyo bas, unachukua mzunguko wake kwa mfano 28 unatoa 14, yaani (28-14=14), hyo ndo ovulation day ambapo kunakua na high chance of conceiving. Lakini hadi siku 3 before hyo siku bado kuna medium chance nA pia 3 days after kunakua na medium chance of conceiving pia.
Therefore, hakuna specific day kwa wanawake wote, lakini unaeza tumia hyo hesabu hapo juu kwa kuangalia mzunguko wake kujaribu kukadiria siku.
Wataalam wengine wataongezea uzoefu
Shida yote ya nini mkuu, tumia condom au kojolea nje [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]siku kuna hadi vidonge vya kumeza baada ya tendo,,,,,,,,jitayarisha tu ulee kiumbe: ushayakanyaga ( in mandonga's voice)
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app