Msaada kuhusu Branch Financial Services

Msaada kuhusu Branch Financial Services

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,056
Reaction score
10,729
Wakuu,

Hawa jamaa wa BRANCH wanajitangaza kupitia mitandao na wana application yao kwenye play store kwamba wanatoa mikopo kwa vipindi vya wiki tatu. Mathalani ukikopa elfu 20 unarudisha 22,008 kwa kipinndi cha wiki tatu.

Mitandao inayohusika ni Vodacom na Safaricom.

Embu mnaojua zaidi issue hii mtuelimishe, hasa kwa wale mliojaribu hii kitu please.
 
Habari ya jumapili?



Wandugu katika pita pita yangu Twitter nimekutana na watu wanajiita branch wanakopesha online baada ya kuinstore apple yao lakini wanatoa kwa laini ya Vodacom tu kwa Tanzania wanavo dai na Kenya kwa safaricom




Je hiii inshu ni yaukweli au matapeli wakuu.Naomba kuwasilisha.
 
Watembelee ofisini kwao, kama hawana Ofisi anza kujenga wasiwasi,

Katika process za mkopo wanafanyaje?

Zaidi ujue tupo kipindi Kibaya , pesa hamna kabisa, wizi na utapeli hasa mitandaoni umeongezeka
 
Watembelee ofisini kwao, kama hawana Ofisi anza kujenga wasiwasi,

Katika process za mkopo wanafanyaje?

Zaidi ujue tupo kipindi Kibaya , pesa hamna kabisa, wizi na utapeli hasa mitandaoni umeongezeka
mkuuu asante kwa ushauri
 
ACHA UJINGA....
LEO NI JUMAMOSI....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Hii mada inatakiwa iwepo kwenye hili jukwaa au mtoa mada kachanganya
 
Back
Top Bottom