Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 138
Nina simu aina ya Blackberry torch 9800. Nina wiki mbili toka niinunue.
Naambiwa simu za aina hii zinaonesha ramani ya mahali ulipo, ukiwa kwenye gari inakupa speed ambayo dreva anatembea na gari, Nimeweka laini ya tigo nigependa niitumie ipasavyo viongozi.
Naomba mnielekeze zaidi ya hivyo. Napokea na kupiga tu. JF naingia kupitia PC yangu.
Mdanganyika.